OBBIESTUDIO
Utambulisho

Onekana imara tangu siku ya kwanza.

Utambulisho kamili unaoweza kutumia kwenye tovuti, bango, WhatsApp na mitandao ya kijamii.

Utambulisho

Obbie Branding

TZS250,000
225,000 ukichukua na tovuti (−10%)
  • Njia 3 za logo kuchagua
  • Faili za mwisho za logo, kawaida na 3D
  • Rangi na fonti
  • Picha za wasifu na jalada la mitandao
  • Karatasi ya chapa inayoonyesha jinsi ya kutumia yote
  • Mizunguko 2 ya marekebisho kwenye njia uliyochagua · 50% / 50%

Chapa yetu wenyewe, kama mfano

Logo ya Obbie Studio kwa 3D
Utambulisho wa Obbie Studio: logo ya kawaida kwa nyaraka na tovuti, na toleo la 3D kwa icon na picha za wasifu.

Utambulisho na tovuti pamoja?

Ongeza utambulisho kwenye mradi wowote wa tovuti kwa 225,000 badala ya 250,000.