OBBIESTUDIO
Kwa lodge na hoteli

Wageni wa moja kwa moja zaidi, kamisheni chache.

Mara nyingi wageni wanakupata kwenye mitandao ya booking, kisha wanatafuta tovuti yako. Ifanye iwe mahali rahisi zaidi pa kubook.

Tunachojenga kwa lodge

  • Kurasa za vyumba zenye picha halisi na bei wazi
  • Booking ya moja kwa moja na malipo ya awali (Booking & Sales)
  • Eneo la waendeshaji wa safari lenye bei zao
  • Taarifa za booking kwa barua pepe na WhatsApp
  • Kiingereza na Kiswahili; lugha zaidi ukihitaji

Mifumo, si kurasa tu

Pia tumejenga mfumo wa kusimamia lodge wenye kalenda ya vyumba, booking, bili na usafi kwa simu. Uone kwenye kazi zetu, ukionyeshwa na lodge ya mfano.

Ona kazi zetu

Tunapendekeza: Booking & Sales

Kuanzia TZS 1,000,000 (Showcase 800,000), malipo 40 / 30 / 30 kwa hatua.